Kwa harusi, send-off, na sherehe za jamii

Kidigitali zaidi...

Tovuti ya tukio, kadi za mwaliko, vikumbusho vya SMS na WhatsApp, na ukusanyaji wa michango — vyote sehemu moja.

Kutoka mwaliko hadi siku ya tukio

KadiSmart inakusindikiza katika kila hatua ya kuandaa tukio lako, ukiwasiliana na wageni wako njia inayowafikia.

Tovuti ya Tukio

Ukurasa mzuri wa tukio lako, unaoweza kubinafsishwa kwa muda mfupi.

Kadi za Mwaliko

Kadi za kidijitali zenye majina ya wageni na msimbo wa QR wa kuingia.

Vikumbusho

Ujumbe wa SMS na WhatsApp unaotumwa kiotomatiki kabla ya tukio.

Michango ya Pesa Simu

Wageni wanachangia moja kwa moja kupitia M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na HaloPesa.

Bei rahisi, wazi

Lipa kwa kila mgeni. Hakuna gharama za usajili, hakuna gharama za siri — unalipa tu kwa wale unaowakaribisha.

2,000 TZS
kwa kila mgeni
  • Ujumbe wa SMS kwa kila mgeni
  • Vikumbusho vya WhatsApp
  • Ukusanyaji wa michango bila malipo ya ziada kwa mgeni huyo
Anza Kupanga Tukio
Wasiliana nasi

Tuko tayari kukusaidia

Una swali kuhusu tukio lako, au unahitaji msaada wa kuanzisha akaunti? Wasiliana nasi kupitia njia yoyote hapa chini.